Uza bila kelele.
Weka amount, namba ya customer, tuma M-PESA prompt. Kama ni cash, rekodi tu. Haraka hivyo.
Amount → Number → Lipwa.Uza. Lipwa. Fuatilia kila bob. Elite Till ni till rahisi ya M-PESA na cash inayokuonyesha biashara yako inaenda aje—leo, wiki hii, mwezi huu na mwaka mzima.
Ni ile swali rahisi kila trader hujiuliza mwisho wa siku: “Leo nimefanya aje?” Elite Till inakupa jibu bila vitabu mingi, spreadsheets ama kubahatisha.
Weka amount, namba ya customer, tuma M-PESA prompt. Kama ni cash, rekodi tu. Haraka hivyo.
Amount → Number → Lipwa.Leo, wiki, mwezi, quarter, mwaka. Filter ledger yako na uone biashara bila kuuliza memory.
Kila sale iache footprint.Ukifika kwa SACCO, bank ama investor, huendi na “biashara iko poa.” Unaenda na record ya performance.
Numbers ziongee.Elite Till haikulazimishi kuwa supermarket. Inventory ni optional. Kama una products, chagua item iliyouzwa. Kama biashara yako ni service ama unaingia amount tu, endelea hivyo hivyo.
Elite Till haiahidi loan. Inakusaidia kujenga trackable commercial history—record ambayo inaweza kusaidia SACCO, lender, supplier ama investor kuelewa performance ya biashara yako.
Usingoje mwisho wa mwezi kuulize pesa ilienda wapi. Anza kuacha record kutoka sale ya leo.